Leo nawapasulia yai viza

Mkisifiwa tabu msiposifiwa tabu...kipi ni kipi hapa???saa zingine sifa inaongeza morale unajua like next time unampa zaidi ya kile ulichompa kabla......kubali sifa tu...

sifa za kijinga(za kichina) ndio ambazo hatuzitaki
 
mamushika uko juu, umenikuna
 
lkn si kila sifa ni sifa(wajua hilo)mfano mtu anakusifia dude lako limepinda kama mpira wa maji,unadhani ni sifa nzuri?so kuwa makini na sifa upewazo!
uwiiii jamani mtaua mpira wa maji tena, au jamani jamani mh hiyo imenivunja mbavu.
 
Mikela........mtu akifanya zuri lazima asifiwe na hata katika mapenzi ni hivyo hivyo ati.kwanini usimpe sifa zake yule anayekukuna na kukufikisha kwenye pepo flani kwa muda huo?lazima mjua shughuli apewe haki yake ya sifa.
mwanaume sio ukubwa wa kiperege bali uwezo wa kukitumia.maana unaweza jaliwa samaki papa ukashindwa kumgeuza wakati mwenye dagaa anampindua.........nani atakutaka ?
 
Mikela......wanaume wakisifiwa ndo huzidisha manjonjo ili kesho asifie tena.ukiuchuna ndo wanamwaga bakuli mapema.
nyie wanaume hata kama hamjasifiwa msimwage mabakuli mapema.pigeni kazi ya ukweli mpaka mabinti wakubali ili mpate sifa ati...!
 
Ukiwa na fimbo tamu na kali, demu anarudi mwenyewe wala bila ya kukusifia
Atakusumbua kila wakati, "ooh nataka tuonane" sijui "nimekumisi leo vp"
Mwenyewe utakimbia ...sasa hapo ujue chako ni kitamu na amekikuta nia adimu kwa alikotoka wala sio kusifiwa ukiwa unahema kwa nguvu
 
Hivi FirstLady, mkunwa na mkunaji hao wote si wanapaswa kushughulika kwa bidii zote wakati wa majamboz?mbona mzigo katwishwa mkunaji tu?
 
Mikela.inawezekana wewe sio special ila hao wamekutana na wajinga na wewe unanafuu.waje niwaunganishe kwa firstman wangu kama hawajatoa na matangazo ya sifa
 
sifa za kijinga(za kichina) ndio ambazo hatuzitaki

Wakati anakusifia mtazame usoni ndio utajua hizo sifa akumwagiazo ni kweli au si kweli, kwa sababu mwingine anaweza asikusifie ila ukimuangalia wakati wa tendo unaona kabisa anaridhika na hiyo kitu unampa
 
Kazi ipo
Siyo wote wanapendelea kugeuza (tiqo)
Wengi tunapendelea AIRTEL
 
Kimbweka.........kama kitamu utasifiwa tangu unapohema.unadhani mabinti wakikolea wanasubiri mpaka wakajaribu kwingine?wanakupa sifa zako hapohapo........!
bwanamdogo ongeza juhudi sifa ziendeleeeeeeeeee!
 
Yaani hiyo sentensi ya mwisho imeniacha hoi....kina kaka hebu semeni kumbe mwafika kwa kusifiwa kwa maneno na si shughuli yenyewe? Sasa wale wanaokuwaga mabubu tu ina maana hawamwagi bakuli la mchuzi? ah mie nimechoka Mikela mpenzi wangu
 
Bacha........wote ni wakunaji hakuna mkuna wala nini.hata mwanamke akikupa mambo matamu mpe sifa zake ukichelewa watampa wengine akuache kwenye mataa.
mwanamke hufurahi anapojua kwamba amemfikisha mpenzie(wao sio maselfish 0 ila wanaume wakiona wanaweza kuwapa raha wanawake basi wanajifanya vijogoo kuwika kila eneo
 
Wakati anakusifia mtazame usoni ndio utajua hizo sifa akumwagiazo ni kweli au si kweli, kwa sababu mwingine anaweza asikusifie ila ukimuangalia wakati wa tendo unaona kabisa anaridhika na hiyo kitu unampa
weweeee! Wengine wanalia kwafuraha machozi mpaka kwikwi akiuliza hana jibu kumbe anajiuliza huyu kaka alikua wapi sikuzote.
 
Mikela.inawezekana wewe sio special ila hao wamekutana na wajinga na wewe unanafuu.waje niwaunganishe kwa firstman wangu kama hawajatoa na matangazo ya sifa

kizuri kula na nduguyo bana, au sio FirstLady?
 
mwanajamii one...........bakuli la mchuzi utamwaga ila kama umepewa vitamu zaidi lazima kelele ziwepo ati..!
usikubali bakuli lije kimya,ZIDISHA MANJONJO
 
AAAAKH...tatizo anaweza ng'an'ania ikawa tabu ati.....bacha usijaribu.kizuri kula peke yako
 
Yaani hiyo sentensi ya mwisho imeniacha hoi....kina kaka hebu semeni kumbe mwafika kwa kusifiwa kwa maneno na si shughuli yenyewe? Sasa wale wanaokuwaga mabubu tu ina maana hawamwagi bakuli la mchuzi? ah mie nimechoka Mikela mpenzi wangu

Tena MJ1, bora mwanaume akutane na mdada ambae mashine yake miyeyusho lakini anajua kuongea wakati mnado, huyo nina hakika anaweza akanifanya nimwage chuzi langu mapema kuliko yule ambae anakuwa bubu, hujui kama amekasirika au amefurahi!sana sana unamwona tu alivyokutolea macho mpaka umamwogopa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…