Leo nawapasulia yai viza


Hujajua tu mpaka leo kuwa ni mbinu ya kukufanya ukate pochi kubwa zaidi............enewei hata mimi niliambiwa hivyo hivyo na hao hao!
 

FL na wewe sometimes!!!!!! unashuka nondos, waambie hao
 
lkn si kila sifa ni sifa(wajua hilo)mfano mtu anakusifia dude lako limepinda kama mpira wa maji,unadhani ni sifa nzuri?so kuwa makini na sifa upewazo!
.....ahahahahaaaah hii sio sifa bali ni kudhalilishwa.
 
Si unajua sisi wabarikiwa wa Bwana tunaibuka tu sehemu yoyote bila sababu maalum
Mh hiyo ni kweli Bujibuji, lakini sikuingine piga hodi jamani hata umasaini huwa wanachomeka mkuki kama sign.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…