Leo nayatoa ya moyoni

pole sana mkuu cha kuafanya achana nae kabisa atakupa streess huyo hakufai kabisa kwaninini unaendelea naye endeelea na mambo yako achana naye anakumalizia hela zako huyo
 
Duh! Umetiririka!pole ndugu dunia hii jitu unaweza kulithamini ukalipa umuhimu kumbe mwenzio yupo penye research.
 
nia wasiwasi sana kama kweli huyu msela yupo nje kama ndivyo basi atakuwa brunei mji wa dar us salaam, mambo yake kama kijana wa dar es salaam anawezaje kufua nguo za ndani zako na za mkeo ukaja kuanika jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…