Leo ndio Ile Siku Dunia Inashuhudia Magarasa ya Simba

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mchezaji hasajiliwi kisa anajua kupiga danadana.

Mchezaji hasajiliwi kisa anatoka nchi inayoongoza kwa kujua mpira, basi ukajua eti nae anajua mpira.

Leo ndio siku MO ataanza kujuta kuhusu pesa zake za usajili zilivyoliwa na wajanja wachache.

Tukutane hapa kwanzia saa 10 jioni ili tufanye zoezi moja tu na si lingine bali ni KUHESABU IDADI YA MAGARASA.

Tukutane uwanjani...
 
Iga ufe, this is the next level
 
Huu ni wivu wa Kijinsia..!
 
Leo ndiyo siku ya kusikia utambulisho wa majina ya wachezaji 'koko' kutoka Brazil! Eduardo dos Santos da silvaaaaa! Ligi itakapochanganya, utashangaa wote watapotea kusikojulikana.
 
Vipi mkuu ile bangi ya kariombage fc iliwalevya mkashindwa na kutoa droo? Angalia leo mkuu timu ya kimataifa ilivyotembeza kichapo.
 
MORINGA OYEEEE YANGA HAIWEZI KUCOMPETE ATA NA KMC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…