Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Hasara yao wazazi waliomzaa mtoto, kila mtu atabeba msalaba wake kiongozi.Sad...huyo mtoto maisha yake yanaharibiwa.ulichotakiwa mdau ni kuripoti hilo tukio sehemu husika kumsaidia huyo mtoto..
Wanabemenda mtoto, mtoto atakuwa mshona viatu.noma aisee
Kwa kweli, unaweza ukalewa mkatiwa wote mama na mtoto.Ndoa n stress tu....ngoja nitulie kwanza
Wee unaishi mjini au unaishi wapi, au wewe wa mkoani?Kubemenda ni nini wakuu tuanze hapo
Umechelewa kweli!!!!Wee unaishi mjini au unaishi wapi, au wewe wa mkoani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] joseverest:Jiseverest: [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]