Leo ndio nimeamini hakika Mgunda ni Guardiola Mnene

1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola

2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola

3.anatumia formationa kama Guardiola
[emoji16][emoji16]
20220813_160959.jpg
 
1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola

2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola

3.anatumia formationa kama Guardiola
MBUMBUMBU huwa wanaridhika na mechi 2 tu za awali na kusahau maumivu yoote...hivi mechi ya 3 na ya 4 tukifungwa tutasemaje sisi mikia kwa Bingwa YANGA?

Kwanini tunasahau mapema kama kuku[emoji848][emoji38]
 
Akili matope hizi,Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tatizo moja alilofanya jana, sijajua ni Mgunda au Matola, tatizo lenyewe ni kumuingiza Erasto Nyoni.

Hivi Nyoni aliingia ili na yeye aingie kwenye rekodi au aliingia kuimarisha timu?

Binafsi naona Nyoni astaafu mpira au kama anataka kuendelea kucheza, aondoke pale Simba aende timu ndogo akawaongezee hamasa kwa sababu akili yake inataka kucheza lakini mwili wake unagoma kabisa!
 
Cha msingi matokeo yamepatikana
 
1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola

2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola

3.anatumia formationa kama Guardiola
Ni suala tu la muda, mtakuja tena kumtukana humu jukwaani kama mnavyo mtukana kocha wenu msaidizi Seleman Matola! Timu ikishinda, ni nderemo na vifijo! Itokee sasa timu imefungwa!!
 
Tatizo moja alilofanya jana, sijajua ni Mgunda au Matola, tatizo lenyewe ni kumuingiza Erasto Nyoni.

Hivi Nyoni aliingia ili na yeye aingie kwenye rekodi au aliingia kuimarisha timu?

Binafsi naona Nyoni astaafu mpira au kama anataka kuendelea kucheza, aondoke pale Simba aende timu ndogo akawaongezee hamasa kwa sababu akili yake inataka kucheza lakini mwili wake unagoma kabisa!
Matola ndo alimwingiza Nyoni ndipo Mgunda akawaka kwa kumkaripia Matola
 
Back
Top Bottom