son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Guardiola anaongea kingereza kizuri [emoji22]1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola
2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola
3.anatumia formationa kama Guardiola
[emoji16][emoji16]1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola
2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola
3.anatumia formationa kama Guardiola
MBUMBUMBU huwa wanaridhika na mechi 2 tu za awali na kusahau maumivu yoote...hivi mechi ya 3 na ya 4 tukifungwa tutasemaje sisi mikia kwa Bingwa YANGA?1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola
2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola
3.anatumia formationa kama Guardiola
Kuiita timu he ndo kiingereza sahihi?1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola
2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola
3.anatumia formationa kama Guardiola
Hamna kitu hapo, It is a matter of time with the coming games and one will prove you wrong!1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola
2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola
3.anatumia formationa kama Guardiola
Akili matope hizi,Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tuMBUMBUMBU huwa wanaridhika na mechi 2 tu za awali na kusahau maumivu yoote...hivi mechi ya 3 na ya 4 tukifungwa tutasemaje sisi mikia kwa Bingwa YANGA?
Kwanini tunasahau mapema kama kuku[emoji848][emoji38]
Sasa kwanini yeye mnene, kama ana sifa zote za mtu mwembamba?1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola
2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola
3.anatumia formationa kama Guardiola
Cha msingi matokeo yamepatikanaTatizo moja alilofanya jana, sijajua ni Mgunda au Matola, tatizo lenyewe ni kumuingiza Erasto Nyoni.
Hivi Nyoni aliingia ili na yeye aingie kwenye rekodi au aliingia kuimarisha timu?
Binafsi naona Nyoni astaafu mpira au kama anataka kuendelea kucheza, aondoke pale Simba aende timu ndogo akawaongezee hamasa kwa sababu akili yake inataka kucheza lakini mwili wake unagoma kabisa!
Ni suala tu la muda, mtakuja tena kumtukana humu jukwaani kama mnavyo mtukana kocha wenu msaidizi Seleman Matola! Timu ikishinda, ni nderemo na vifijo! Itokee sasa timu imefungwa!!1.Anafundisha mpira muruwa kama Guardiola
2.Anaongea kiingereza vizuri kama Guardiola
3.anatumia formationa kama Guardiola
Matola ndo alimwingiza Nyoni ndipo Mgunda akawaka kwa kumkaripia MatolaTatizo moja alilofanya jana, sijajua ni Mgunda au Matola, tatizo lenyewe ni kumuingiza Erasto Nyoni.