Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Nisiwachoshe niende kwenye mada kama ifuatavyo:-
Jana mida ya saa moja jioni niko mitaa ya karibu na chuo cha CBE hapa Dodoma
Kuna bar moja napiga zangu bia huku nikiwa na kademu kamoja hivi (mishen town)huwa nakatumia kupunguza stress za usawa huu wa Mzee baba.
Ilipotimu mida ya SAA 4 usiku nikalipia room ili niingie nianze kula mzigo.
Nikiwa Lodge naendelea na zoezi zima la "uchenjuaji wa makinikia" maana mziki wangu huwa ni hakuna kulala(natumia vumbi la Kongo)
Ghafla mida ya saa 9 usiku tukasikia mlango unagongwa kwa nguvu ikabidi niamke kufungua mlango nakuta askari polisi wa doria eti wanakagua vyumba vyote gesti.!
Wakaomba kitambulisho nikawambia nimekisahau nyumbani ila hapa nina Driving license wakagoma kwamba kitambulisho wanachokitambua ni cha ulaia "NIDA" (ukizingatia wenye hivyo vitambulisho kwa sasa ni watumishi wa sirikali tu)
Baada ya kukagua vyumba vyote walituchukua watu karibia wote na kutupakia kwenye gari la polisi ili kutupeleka polisi eti tukahojiwe(walibaki baadhi ya watu wachache vyumbani ambao walitoa pesa hapo hapo na kuachiwa)
Tumezunguka na magari ya polisi tukapita kama gesti tatu hivi na kukamata watu wengine zaidi kwa makosa kama kutokuandika majina kwenye vitabu vya gesti ama kama umeandika jina ila huna kitambulisho imekula kwako.!
Tumefika kituo cha polisi na kuanza kuandikwa majina kila mmoja na mwanamke aliyekuwa naye (tulikuwa watu zaidi ya hamsini)
Baadae tunaitwa mmoja mmoja eti unaingia kwenye chumba flani kuhojiwa mwisho wa siku ukiwaachia elfu ishirini unaondoka.
Kilichoniacha hoi zaidi ni jinsi askari walivyokuwa busy kutongoza hadharani na kuomba namba za simu za mademu kwa kisingizio cha kuwasaidia na kutishia kuwa watakaoshindwa "kujiongeza" ili watoke ikifika mchana watawekwa mahabusu ili Jumatatu wapelekwe mahakamani.!
Mbaya zaidi walitishia kuleta waandishi wa habari za udaku ili kuwarecord wote waliokamatwa gesti ili kama ni mke au mme wa mtu ajulikane kwa mwenzie.
Bada ya kuona muda unakwenda ilibidi niwapigie simu jamaa ninaouzaga nao majeneza wakaniletea pesa nikatoa nikasepa na demu wangu (ingawa kuna askari alitaka kukataa eti demu abaki ahojiwe zaidi kumbe shida yake namba ya simu.!
Ukizingatia demu mwenyewe mtoto wa mjini amempa afande namba ili aingie kichwa kichwa tumchezee mchezo.
Ukweli inavyoonekana askari wetu wanatumia magari na siraha za jeshi kujitafutia pesa kwa ubabe usio na maana.!
Sent using simu ya kichina pasua kichwa.!