Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga,je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza makasiriko..!Nchi imejaa mapumbavu tu, tunaabika kila siku kisa utopolo, nchi inakosa hata mvuto, ifike sehemu yanga mpunguze ujinga japo kidogo au mnalipwa?
😡😡😡Punguza makasiriko..!
Ukimuona mtu kavaa tshirt ya Yanga nyuma imeandikwa ephen_ niite
😁😁😁😁 Yanga wanakera hao balaaaNchi imejaa mapumbavu tu, tunaabika kila siku kisa utopolo, nchi inakosa hata mvuto, ifike sehemu yanga mpunguze ujinga japo kidogo au mnalipwa?
Hapa nyumbani nimefungulia redio ikiisha SISI NDO YAAAAANGA ....Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga,je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?View attachment 2998795
😁😁😁😁 Yanga wanakera hao balaaa
Wananchi wenye nchi