Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Punguza makasiriko..!Nchi imejaa mapumbavu tu, tunaabika kila siku kisa utopolo, nchi inakosa hata mvuto, ifike sehemu yanga mpunguze ujinga japo kidogo au mnalipwa?
๐ก๐ก๐กPunguza makasiriko..!
Ukimuona mtu kavaa tshirt ya Yanga nyuma imeandikwa ephen_ โniite
๐๐๐๐ Yanga wanakera hao balaaaNchi imejaa mapumbavu tu, tunaabika kila siku kisa utopolo, nchi inakosa hata mvuto, ifike sehemu yanga mpunguze ujinga japo kidogo au mnalipwa?
Hapa nyumbani nimefungulia redio ikiisha SISI NDO YAAAAANGA ....Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga,je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?View attachment 2998795
๐๐๐๐ Yanga wanakera hao balaaa
Wananchi wenye nchi