Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
- Thread starter
-
- #21
Naamini haki itatendeka.!
HahahahaaaaDogo tangu kaka yako Kapuya achanwe live ulipoteea, ulikuwa unaogopa nini!?
Wakitoka tu nawashauri waende kwao Kongo wamroge perpatrator wao kifanyio kihamie kwenye paji la uso..
Kinachomlinda Kapuya ni kwanza ni ccm, pili ana hela, tatu anauza unga na hakamatwi, nne ni Waziri mkuu mtarajiwa kupitia ccm ya Kikwete...