wadau bodi ya mikopo kwenye matangazo yao pale ofisini walisema siku ya leo tarehe 1 october wataweka maelezo jinsi ya kukata rufaa kwa waliokosa mikopo. Lakini mpaka muda huu kwenye tovuti yao hakuna jipya lolote. Je, tufanye njia gani ili tukate hiyo rufaa?
Kama unahisi umeonewa nenda mahakamani
Huyu mwenzako analeta jambo la msingi ,wewe unamdhihaki. Amekosa mkopo, meaning kama yuko kama mimi hakuna shule hapo. Acha dhihaka kwa mambo ya msingi. Mpe ushauri au nyamaza tu.
Kama unahisi umeonewa nenda mahakamani
Kama unahisi umeonewa nenda mahakamani