Leo ndiyo ufafanuzi wa Serikali kuhusu nyongeza ya 23% ya mwezi Julai, 2022

Leo ndiyo ufafanuzi wa Serikali kuhusu nyongeza ya 23% ya mwezi Julai, 2022

Mtimkavuorg

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
655
Reaction score
527
Leo ndiyo ufafanuzi wa serikali kuhusu 23% ya mwezi July nangoja nione watasema nini maana nilikuwa na tumaini na mama anatulea kumbe mama naye katuchoka mapema. Mungu tusimamie watumishi kikombe kigumu kwetu[emoji120]
 
Ufafanuzi ulishatolewa, kwamba alinukuliwa vibaya. Ile nukta iliwekwa sipo. 23.3% yaani 2.33%.
 
Ufafanuzi tulishautoa tangu tarehe 22/07/2022 kwenye mshahara wenu.
Hebu tulieni msilete chokochoko tukawavunja mbavu
 
Haya ndo mafanikio?
Screenshot_20220726-175624.jpg
 
Leo ndiyo ufafanuzi wa serikali kuhusu 23% ya mwezi July nangoja nione watasema nini maana nilikuwa na tumaini na mama anatulea kumbe mama naye katuchoka mapema. Mungu tusimamie watumishi kikombe kigumu kwetu[emoji120]
Updates vipi?

Asking for friend
 
Back
Top Bottom