Kwema? Leo Dakika chache Mtajua kauli ya Ubaya Ubwela inakwenda kudhihirika huko Singida Pale Wananchi watakapo toka Uwanjani Wakisonya na kutukana na Kuongea peke yao Baada ya matokeo wasiyoyatalajia Ni hayo kwa sasa Kutoka Hapa Liti Singidani.Baadae jamaani!
Zimba Kaunguruma kama Kawaida.Utabiri wako umekuaje?
ubaya ubwela umeonekana kweliKwema?
Leo Dakika chache Mtajua kauli ya Ubaya Ubwela inakwenda kudhihirika huko Singida Pale Wananchi watakapo toka Uwanjani Wakisonya na kutukana na Kuongea peke yao Baada ya matokeo wasiyoyatalajia Ni hayo kwa sasa Kutoka Hapa Liti Singidani.
Baadae jamaani