Leo ndoa ya Dk. Slaa

umenena vyema kabisa hadi kifo chako huwezi kujicompare na mimi! you are empty headed, myopic and silly fellow!
Mi iko penda hii..utaumiza kichwa sana, mimi ni wa sayari nyingine! chezea rejao wewe!
 
Nasaha nzuri sana hizi. But zimeelekezwa kwa wrong persons. Hawa siyo wanandoa wapya. Kila mtu tayari ana experience ya kutosha kwenye maisha ya ndoa.
 
Nasaha nzuri sana hizi. But zimeelekezwa kwa wrong persons. Hawa siyo wanandoa wapya. Kila mtu tayari ana experience ya kutosha kwenye maisha ya ndoa.

Rejao,

Binadamu ameumbwa na kusahau. Unajua unaweza ukawa unaishi na mwanamke miaka 5 hamjafunga ndoa mkaishi kwa raha sana. Mnakuja kufunga ndoa tu mnakaa mwaka mmoja au miezi 6 tu mnaachana. Pamoja na experience yake lakini Mzee Slaa anatakiwa akumbuke sana swala hili kwamba suddenly mambo yatabadilika ndani ya nyumba. Kama Josephine alikuwa ana supply software kwa Chadema sasa hivi atataka awe anatoa na huduma za catering, magari anunue yeye nk
 
Aisee wamekuachia lini tena? Kwakua tulisikia na wewe ulitekwa nyara!

Mkuu jana kulikuwa na uzi unazungumzia matatizo ya posho kwenye kikosi cha propaganda nafikiri ni mmoja wa waathirika!
 
hakuna mtu anatarajia la maana toka kwako, JF nafikiri wanajuta sana kukupa nafasi hii, you are a disappointment to jamii forums!!



Mkuu,as a matter of fact he is just not a disappointment to Jf but more so he is a DISGRACE!!
 

Taarifa ni kwamba nataka kuku oa wewe!
 
Ndoa walishafunga kwani naamini kuwa wanaishi pamoja kwa hiyo kisheria ndoa ipo na hakuna wa kupinga. Kinachofuata au kufanyika leo ni kuibariki ndoa na kuwatangaza mbele za watu, pia leo ndio harusi yaani sherehe au shamrashamra.
 
Hiyo siyo ndoa (WEDDING) kama ambavyo wengi wanaita , lugha fasaha ya tukio la leo la Dr. Slaa na Josephine linaitwa kwa lugha ya wenzetu "THE SACRAMENTS OF HOLY MATRIMONY".

Au kiswahili chepesi tunaita 'kupasha kiporo'
 

Mkuu wangu umeongea maneno mazito sana ni ushauri mzuri wa ujenzi ni pigo kwa kambi ya kina TUNTEMEKE kama tunavyojua sterling ni mama mwenyewe kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
harusi sio siasa, hapa ni jukwaa la siasa tu! huu uzi huufai hapa
 
stupid advice....akili ya makamasi
 
Mliokuwepo hk, Junior alikuwepo kwenye arusi ya babu yake?
 
Siwezi kumkimbia mtu humu ndani, huwa natingwa tu na majukumu
Bora ya wewe unamajukumu mengine zaidi ya kuipigia debe Mabwepande, mwenzio Ritz hushinda akimwaga utitili humu kutetea sinema ya Kova!
 
Wakuu msitetee na kuingiza mambo ya udini,mnaofanya hivyo mko desperate kulinda maslahi tu,lakini hamtafanikiwa.Kama unaikashifu dini ama imani ya member mwenzako kwa kutumia issue za kuifanya imani yako ndo ionekane bora kuliko za wenzako ndo mwanzo wa kudiscuss issue ambazo hazina msaada kwa taifa.

Wenye imani moja kuwaita wenzao wazinifu si sahihi kwasababu imani za watu ni tofauti,mtu ni mzinifu kwa kutumia vigezo vya dini yako.Hata hivyo mwingine anaweza kutumia vigezo vya dini yake kukuita na wewe "mzinifu"

Kwamfano mtu kama haamini uislam,basi anaweza kuchukulia mke zaidi ya mmoja kuwa uzinifu etc.Nashangazwa sana na watu ambao pia wanaingilia imani binafsi za watu na kwajudge against them.Kama tunategemea kupata viongozi wa Tanzania,udini unahusika vipi?ama falsafa ya serikali haina dini ni danganya toto
Nina imani kabisa kuwa wenye kuingiza dini kwenye mijadala ndo mafisadi,hilo naliamini toka kitambo na imani yangu haitayumba.
 
Fahamu kuwa ndio zimeingia TZ hivyo, na hii ndio tumeanza kuishuhudia. Josephine anajiatach kwa Slaa kutokana na political na economical reasons. Sidhani hapo kama kuna marriage inayotokana love!

wewe ni mtabiri?
 
Bora ya wewe unamajukumu mengine zaidi ya kuipigia debe Mabwepande, mwenzio Ritz hushinda akimwaga utitili humu kutetea sinema ya Kova!

Na wewe hushinda JF kumtetea Slaa au Mbowe!
 
Josephine ni mtoto wa mjini, hashindwi kitu. Kibabu lazima kiingie mkenge!

Hivi Rejao lile jimama ulilolipata pale Sinza Bar umekwisha funga nalo ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…