Leo ndoa ya Dk. Slaa

junior alipendeza sana katika kushuhudia ndoa aka kubariki kati ya wanaotarajiwa kuwa wazazi wake padri slaa na dada yetu software developer wa chama, tuwaunge mkono wadau kuishi na kimada mtu mzima haipendezi. hongera cdm
 
Josephine ni mtoto wa mjini, hashindwi kitu. Kibabu lazima kiingie mkenge!

na yule mwenyekiti wenu mwenye mke mwananyamala aliyempora mtoto...hahaaaaa...
 

Nakubaliana na wewe 100%.
 
wadau nina swali, je inaruhusiwa katika waroma kukaa na mwanamke kama kimada hadi mkazaa kisha kuoana? Je hiyo inaitwa ndoa kisheria?

Swali... Udaku? Hakuna waroma wanaitwa wakatoliki. Waroma wako Italy
 
Mungu awabariki milele......................................................DAIMA!
 

Niambie Mkomatako! Hayo mambo sio mazuri, aheri uliamua kukoma. Hongera sana!
 
Fahamu kuwa ndio zimeingia TZ hivyo, na hii ndio tumeanza kuishuhudia. Josephine anajiatach kwa Slaa kutokana na political na economical reasons. Sidhani hapo kama kuna marriage inayotokana love!

Nitokeje? Karibu umeshatoka na Dr. Slaa kwa leo ila hayakuhusu
 
Ndoa ya Dr.Slaa ni mambo yake binafsi na si kuwadi wa CCM Rozi Kamili wala CCM wenye haki ya kuiingilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…