Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
πΆβπ«οΈ - hii inapiga chabo kwa dirisha
π© - Iko kwenye sexy vile inaona raha
π - imetoka fumaniwa na mke/mume wa mtu
π - inachekea salio jipya kwa m-pesa
π - inalia vile inamdanganya mtu kwenye mahuy
π€§ - imechapwa shule venye inarudi
π - hii mdada ilitumiwa pesa kwa makosa kabla ya kutoa imerudishwa kwa mwenye kutuma
π - imezidishwa chenji
π - inadanganya upendo ipo na watu mingi kwenye relationship
π - imetoka kataliwa na manzi na kukomeshwa kwa sms
π° - imetapeliwa pesa na mwanamke wa facebook
π₯° - imepata danga jipya
π€ - kamdomo inaogopa kesi kisutu
π - imekula nauli na haijaenda
π€ - imepata ajari ya bodaboda ilikuwa mbio kwenye wametoka harusini
π’ - imefiwa na baba yake mzazi
π€Έ - kwao wanapika wali na kuku
βοΈ - ni mimi wako UWESUTANZANIA
Ongeza mkasa wa emoji ile unaijua.