Leo ngoja niwarudishe kwenye utoto tena.

Leo ngoja niwarudishe kwenye utoto tena.

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
Kwa wale tulio kwenda Drive Inn Cinema na madingi mnakumbuka hii nyimbo kwenye zile speakers za kuning'ingiza dirishani kwenye gari?, kila ninapo isikia inanipa feeeling kubwa ya kumbukumbu zinazo nirudisha kabisa kwa kujiona kama niko Drive Inn cinema kwa ile ile hali niliyo ifeel kipindi kile .
Je wewe unaikumbuka nyimbo zipi ? sababu kubwa zile nyimbo zilikuwa zina jirudia mara zote hivyo zilitukaa kichwani.

 
Back
Top Bottom