Leo ni birthday yangu, lakini sasa

Leo ni birthday yangu, lakini sasa

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
442
Reaction score
227
Habari wana Jf

leo ni happy bday yangu ila kutokana na vyuma kuwa vigumu,nimependelea kusheherekea mimi,mke wangu na mtoto

mara nyingi tunapenda kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki

Asante Mungu kwa kuendelea kunipa zawadi hii ya uhai
HAPPY B'DAY TO ME
 
Mmmh mimi na familia yangu tuko outdated sana
Yaani baba watoto akae anasherehekea birthday!!!

Happy birthday

[emoji252] [emoji479]

Uko kama mimi, sisi wa vijijini haya mambo hatuyawezi mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmmh mimi na familia yangu tuko outdated sana
Yaani baba watoto akae anasherehekea birthday!!!

Happy birthday

[emoji252] [emoji479]

Jitaidi uendane na kasi ya birthday mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ni birthday ya bwana mmoja tu ambayo usherekewa na watu karibia wote dunia... birthday ya Yesu sisi tunaiita X-mass
 
Mmmh mimi na familia yangu tuko outdated sana
Yaani baba watoto akae anasherehekea birthday!!!

Happy birthday

[emoji252] [emoji479]
Mmeo kama mm tu, birthday huwa namfanyia mtoto ambaye yuko shule ya msingi, Na kwa ubize wa kazi zangu huwa nakumbushwa na mke wangu kunitakiwa heri ya siku ya kuzaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom