Mmmh mimi na familia yangu tuko outdated sana
Yaani baba watoto akae anasherehekea birthday!!!
Happy birthday
[emoji252] [emoji479]
Mmmh mimi na familia yangu tuko outdated sana
Yaani baba watoto akae anasherehekea birthday!!!
Happy birthday
[emoji252] [emoji479]
Mmh haya maisha kuna mambo mengine tunayaacha yanapita.Jitaidi uendane na kasi ya birthday mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani tuna kaushambaUko kama mimi, sisi wa vijijini haya mambo hatuyawezi mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mmeo kama mm tu, birthday huwa namfanyia mtoto ambaye yuko shule ya msingi, Na kwa ubize wa kazi zangu huwa nakumbushwa na mke wangu kunitakiwa heri ya siku ya kuzaliwaMmmh mimi na familia yangu tuko outdated sana
Yaani baba watoto akae anasherehekea birthday!!!
Happy birthday
[emoji252] [emoji479]
Nadhani tuna kaushamba
[emoji252] [emoji479]
Hahahahahaha wanaume wa dar bwana!!!!! Haya happy birthday to you
Sent using Jamii Forums mobile app