Leo ni birthday yangu tujumuike pamoja

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Nimezaliwa mwezi na tarehe ya leo, miaka mingi kidogo iliopita,niliingia JF mwaka 2012,namshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka siku hii ya leo,nafurahi kuwa JF na wana JF tukiendelea kupeana michango mbalimbali,karibuni tujumuike,yawezekana kimwili hatuko pamoja lakini kiroho tuko pamoja kushereheka..
 
Kila la kher
Nakuombea mafanikio kwa umri wako uliobaki
 
Nawashukuru kwa wishes,tuko pamoja..
 
Hbd the papuchi is becoming matured like vintage wine
 
Happy birthday brother!!!
Mungu akupe kila lenye kheri hapa duniani, uishi maisha marefu yenye furaha na amani tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…