Leo ni birthday yangu

Hongera Mkuu kwa kutimiza miaka kadhaa. Mungu akupe mingine mingi ya kuishi
 
Sijawahi sheherekea birthday yangu na sioni umuhimu wa kusheherekea.
 
asanten wote jaman?
 
Hongera dear ni pm namba yako nione tunafanyaje Tgo pesa
 
wakuu nipongezen basi kwa kutimiza miaka ishirini kadhaa ya kuzaliwa kwangu..na wenye tuzawadi mnizawadiepo..hata m pesa napokea
Happy birthday baby wangu......


Mungu aendelee kukuweka kila siku niipatayo niendelee kuiona faraja yangu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…