Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Oct 3, 2024 #1 Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume. Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye kalenda ya 🇨🇺 na 🇷🇺
Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume. Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye kalenda ya 🇨🇺 na 🇷🇺
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 3, 2024 #2 Dah ukiambiwa kuna wanaume wamekimbia uanaume wao😭
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Oct 3, 2024 #3 member since 2007 🤔 duu kumbe kuna mashetani humu JF
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Oct 3, 2024 #4 proton pump said: member since 2007 🤔 duu kumbe kuna mashetani humu JF Click to expand... na bado wana mambo ya ajabu
proton pump said: member since 2007 🤔 duu kumbe kuna mashetani humu JF Click to expand... na bado wana mambo ya ajabu
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 3, 2024 #5 Huyu sijui ni mtu mzima au ni kijana?...uandishi wake una errors nyingi sana...