I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Hata kuna baadhi ya hoteli hazina chumba namba 13Hio number 13 watu wanaiogopa Sana especially timy za mpira,,, toka naanza kushabikia timu ya Arsenal sijawahi ona jersey 13 humo labda mtu aje anikumbushe tu jina la mchezaji aliyevaa jersey 13 pale Arsenal
Na ndio ukawa mwanzo wa kustaafu maana ilikuwa anapata majeraha ya mara kwa maraKwenye soka hii namba mara nyingi huvaliwa na magolikipa, japo M. Ballack aliivaa pia
Morrison Gani?Morrison nae anavaa hiyo namba