kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Miaka miwili iliyopita nilitapeliwa na mtu ambaye nilimuamini sana, akakimbia sikujua anaishi wapi, wala ndugu yake hata mmoja, ila nilimwambia tutakutana tu, na kukutana ni tendo la lazima.
You cant get away its will happen, nikamwambia kwa kuwa sifahamu unapoishi, tukikutana utanilipa hapohapo, leo ngangangaaaa nikamkuta kwenye mwendo kasi.
Nikamwambia polepole sana, oya uko bomba akajibu niko sawa ndugu, nikamwambia fanya ule mpango leo, maana kuonana kwetu ngumu, akaanza kipiga simu huko na huko tulipokuwa tumeshuka.
Mara ngangaaaaaa akanilipa375000 zangu, nimefurahi sana, ukitapeliwa usisumbuke, cool down na utampata tu