Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you, kinsmen, kwa jina la “Gusa Achia Twende Kwao.
Baada ya jana wanaume kufanya kazi ya kiume na kuheshimisha nchi kwa pira “Gusa Achia Twende Kwao,” sasa leo tutashuhudia wale wavuta bange wa Kariakoo wakikatika mauno huko Uarabuni.
Tegemea yafuatayo:
1. Gusa, anguka, tupate penalti.
2. Ushindi mwembamba wa goli moja, mfungaji kuvua shati, kama si chupi kabisa.
3. Zitaongezwa dakika mpaka watakapopata goli, ndipo mpira utamalizika.
4. Kelele za "Yanga wanajidunga sindano" zitarudi.
5. Jumba bovu kuangushiwa mvuta bange, ahoua, na kocha Fadlu.
Lolote liwakute Simbilisi. Kila la kheri!