Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Kwa kweli leo nimekaa kimaadili zaidi! Jana kuna jamaa kafumaniwa live na mkewe! Sijawahi kuona mwanamke analia vile! Makamanda tulikaa naye kwa masaa mawili, wanandoa wakashikana mikono! Leo nampigia simu jamaa kumuuliza kilichoendelea night akanambia AMEMRUSHIA MAJI MAZITO KAMA KAWA! LOL!
mkitunyima unyumba kuna midoli imekuja spesheli kutukata kiusiku tunagoma ndio mtatia akili
......:d:dmkuu hebu imagine yale maserengeti navoyamiminaga kwa mbwembwe lakini nikirudi home napokelewa kwa furaha hata kama ni sita usiku! thanks very much my wife mama matesha! I love you!
Huyo mwanamke ana moyo, mie nikimfumania ndio kwa heri hakuna mjadala wala nini.
Mkuu hebu imagine yale maserengeti navoyamiminaga kwa mbwembwe lakini nikirudi home napokelewa kwa furaha hata kama ni sita usiku! Thanks very much my wife MAMA MATESHA! I LOVE YOU!
kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
imagine:
anakufumania: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!
unazaa nje ya ndoa: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!
unarudi usiku wa manane ukiwa mtungi: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.
unaamka asubuhi na mahangover: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa supu na kuzimua. Wala halalamiki!
chakula cha usiku: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: Lol) anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!
unajiandaa kwenda kibaruani: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!
unampa ujauzito: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!
Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini wanasamehe, wanavumilia! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!
Hivi ingekewa wanaume tunafanyiwa hivi ingekuwaje?
Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:
i salute and love them women!
(nb: Leo niko kimaadili zaidi!)
Taratibu, ntakupunguzia heshima!
TUMEKOMA MAMA!yote hayo tunawafanyia lakini matusi mnayoyatoa midomoni kwenu inanihuzunisha sana
ha ha ahaaaaaaa. congrats mama matesha.Mkuu hebu imagine yale maserengeti navoyamiminaga kwa mbwembwe lakini nikirudi home napokelewa kwa furaha hata kama ni sita usiku! Thanks very much my wife MAMA MATESHA! I LOVE YOU!
mkitunyima unyumba kuna midoli imekuja spesheli kutukata kiu
hahahaaaa, NINI KUFUMANIA wewe??......Afanye vyote lakini hilo la kumfumania live na mwanamke mwingine noooooooo!!! Dunia yenyewe ya leo magonjwa nje nje ni big nooooooooo!!!!
Kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
IMAGINE:
ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!
UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!
UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.
UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!
CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!
UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!
UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!
Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!
HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?
Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:
I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!
(NB: Leo niko kimaadili zaidi!)
YAAAH MAAN!hahahaaaa, NINI KUFUMANIA wewe??
unaletewa mtoto wa nje ya ndoa na UNASAMEHE!.
love to all women out there.