Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kesi inayomuhusisha aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambaye kwa hivi sasa anakipiga Simba Sc, Bernard Morrison itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii.
Morrison anadai kuwa hakusaini mkataba wa kuongeza miaka 2 Yanga huku Yanga na wao wakidai mchezaji huyo ni mali yao.
Morrison anadai kuwa hakusaini mkataba wa kuongeza miaka 2 Yanga huku Yanga na wao wakidai mchezaji huyo ni mali yao.