Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Aisee, sikujua kama hukumu itatolwa siku hiyo hiyo ya kusikilizwa!... itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii.
Akishindwa wao yanga wamfanyeje?Morison akishinda atumie wehu wake kuwafanyia mbaya Utopolo kwa kudai kitita cha fidia.
CAS ndo wanaamua kwa mujibu wa vipengele vyao vya adhabu walivyoainisha,Yanga hana nafasi kwenye adhabu ni CAS.Akishindwa wao yanga wamfanyeje?
SEMA WW MWENYE YANGA YENU.. 😁Akishindwa wao yanga wamfanyeje?
Hata mi sikujua hiliAisee, sikujua kama hukumu itatolwa siku hiyo hiyo ya kusikilizwa!
Afisa wa juu wa Yanga Abubakar Mfikirwa na yeye amethibitisha hukumu inatolewa leo tarehe 29!Kinachofanyika leo ni usikilizaji wa kesi ila maamuzi yanafanyika baada ya siku kadhaa
Labda usikuAfisa wa juu wa Yanga Abubakar Mfikirwa na yeye amethibitisha hukumu inatolewa leo tarehe 29!
Ndio tupo hapa tunamalizia malizia mkuuVipi bado hamjamaliza?
tupe chanzo cha taarifa
Kama sijakosea hii kesi haisikilizwi leo Bali inafanyiwa hukumu mana pande zote mbili zilikubaliana kukusanya ushahidi na kuwasilisha CAS hivyo CAS watahukumu kutokana na hizo evidences. Kwa maana hiyo CAS walishapitia huo ushahidi na Leo ni hukumuKinachofanyika leo ni usikilizaji wa kesi ila maamuzi yanafanyika baada ya siku kadhaa
Taratibu mkuu utauua![emoji16]
Hata mimi nimesikia, Jaji amesema Mkataba kati Yanga na BM3 ulikuwa halali. Hivyo, BM3 ameshindwa kesi.