Leo ni Ijumaa ewe Mtumishi wa Umma umekumbuka kuondoka na Vitu vyako Ofisini?

Leo ni Ijumaa ewe Mtumishi wa Umma umekumbuka kuondoka na Vitu vyako Ofisini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni vema ukafanya hivyo ili usije kuvikuta jalalani Jumatatu baada ya mabadiliko madogo

Screenshot_2024-07-22-20-53-21-1.png
 
Umesahau waagane ijumaa, kuagana kwenye sosho media kunaongeza mitumbuo pro max😂
 
Kwanini unawajumuisha walimu,wauguzi,polisi na watawala kama mawaziri,makatibu n.k?

Makabrasha watatembea nayo mabosi ila sio mwalimu kutembea na madaftari ya wanafunzi
 
Back
Top Bottom