Leo ni Ijumaa ewe Mtumishi wa Umma umekumbuka kuondoka na Vitu vyako Ofisini?

Umesahau waagane ijumaa, kuagana kwenye sosho media kunaongeza mitumbuo pro max😂
 
Kwanini unawajumuisha walimu,wauguzi,polisi na watawala kama mawaziri,makatibu n.k?

Makabrasha watatembea nayo mabosi ila sio mwalimu kutembea na madaftari ya wanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…