Leo ni ijumaa. Muislam acha yote popote tukimbilie msikitini

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
“Enyi mlioamini! Inapoitwa Swala siku ya Ijumaa, nendeni kumkumbuka Mwenyezi Mungu…” (62:9)

Kila muislam anatakiwa inapofika wakati wa swala utapofiks tuache kila kitu tukimbilie msikitini.
Kama ni semina, bungeni, kazi binafsi, kampuni
 
Na dr amuache mgonjwa theatre?
 
Majini yatajaa sana misikitini leo
 
Kuna mwenzako hapa kasema leo hataenda kazini, anajiandaa na ibada ya leo akidai akienda kazini hataruhusiwa kwenda kuswali. Ujinga mtupu, anadhani swala zitampa maisha kumbe zinamdidimiza katika ufukara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…