Leo sallam amealikwa kwenye interview kwenye kipindi pendwa Cha block89 Cha wasafifm kinachoongozwa na wakali Kama jonijo Aliyah mtu imara na mdada mmoja mwenye kiingereza kingi kitachoanza kuanzia saa 2 mpaka saa 5 usiku nafikiri wale wenye maswali kuhusu project za Mond na malengo au mipango walionayo wcb pamoja na habari inayowahusu wasanii wote waliochini ya wcb mtapata majibu kutoka kwa international manager sallam sk.