Leo ni interview ya sallam sk kwenye kipindi cha block 89

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Leo sallam amealikwa kwenye interview kwenye kipindi pendwa Cha block89 Cha wasafifm kinachoongozwa na wakali Kama jonijo Aliyah mtu imara na mdada mmoja mwenye kiingereza kingi kitachoanza kuanzia saa 2 mpaka saa 5 usiku nafikiri wale wenye maswali kuhusu project za Mond na malengo au mipango walionayo wcb pamoja na habari inayowahusu wasanii wote waliochini ya wcb mtapata majibu kutoka kwa international manager sallam sk.
 
poa salama wamekusikia na watakufatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…