Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika.
π― Malengo Yako Mwaka 2025 β Je, Upo Njia Sahihi?
Tukumbushane wanabodi.
Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea.
Ni wakati mzuri wa kujipima, kujikagua na kujisukuma zaidi.
β
Jiulize Maswali Haya:
- Niliweka malengo gani mwezi Januari?
- Ni lipi limefanikiwa? Liko hatua gani?
- Nimejifunza nini hadi sasa?
- Ni tabia gani zinanikwamisha?
- Nifanyeje kwa miezi 6 ijayo ili kufikia kilele au hata robo au nusu ya safari?
Mambo unapaswa kufanya sasa:
βUsikate tamaa,
βBadili Gia: Boresha mpango wa utekelezaji
β Fanyia kazi udhaifu uliouona
β Pata mshauri au mshirika wa kukuinua (kama ni lazima kufanya hivyo, vinginevyo jifunze kwa kuona na kufanya utafiti-tumia intaneti kupata taarifa sahihi za jambo lako)
β Tambua mafanikio madogo β yasherehekee
MY TAKE
Nusu ya mwaka si mwisho, ni ukumbusho kuwa bado unaweza kufanikisha kila lengo ulilolichora na kulipangilia. FOCUS & WEKA PEMBENI VITU VINAVYOKUPOTEZEA MUDA. UKIWEZA HAMISHA GOLI.