Leo ni Kivumbi na Jasho, mlisema mnataka kucheza na Simba mbona mmenywea?

Leo ni Kivumbi na Jasho, mlisema mnataka kucheza na Simba mbona mmenywea?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kila siku mnatamba kuwa tunaitaka Simba, tunaitaka Simba, Simba hii ya Fabrice Ngoma, Chama, Saido, Micquisone, Onana, Kramo, Kibu Denga mtakoma na hamtarudia tena kuomba mechi na Simba.

Screenshot 2023-08-13 113205.png

Leo ndio waandishi na wachambuzi wenu watajua Simba ni timu au mdudu au mnyama?
 
Back
Top Bottom