Kila siku mnatamba kuwa tunaitaka Simba, tunaitaka Simba, Simba hii ya Fabrice Ngoma, Chama, Saido, Micquisone, Onana, Kramo, Kibu Denga mtakoma na hamtarudia tena kuomba mechi na Simba.
Leo ndio waandishi na wachambuzi wenu watajua Simba ni timu au mdudu au mnyama?