Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
kuna nyimbo yake moja ilikua ikiimba..wewe mama wa kambo usiwe sijui nn....nilikua nikiiweka kanda yake,mama niliyekua naishi nae lazima aitoe ile kanda,and finally aliitupa ile kanda......RIP kamanda
mi namkumbuka kwa kuwa na mke mzungu miguu iliyopasuka bukobaNamkumbuka kwa nyimbo zake,kuna nyimbo yake moja nilikuwaga
nausikiliza sana
sijui yule mke wake mzungu wahaya washamuacha?ukiwa mama wakambo, usiwe kaa la moto, utaunguza nyumba watoto wakose kuishi na baba yao,
ona hizi familia zinavyo vurugika, zinaangamia watoto wanalanda landa mitaani......
He was a legend
mi namkumbuka kwa kuwa na mke mzungu miguu iliyopasuka bukoba