alikuwa na mke mzungu kachokaje? tulikuwa tunagombania nae kuokota senene bukoba kule....classmate muhimbili primary school, a friend and a neighbour Upanga.
Miaka mingi imepita, kumbukumbu zimebaki sie tukiwa kijiweni Boy Scout, twamsikiza Justin Don Bosco akifanya Rehearsals.
Rest in Peace bro.
ndio best si unajua tena wahaya na mambo ya uk....ila sijui alikuwa wa bulgaria maana ...mungu nisamehe....miguu imepasukaje siunajua tena vumbi la kitendaguro?kumbe mke wake alikuwaga mzungu!!!!!!!!
niliiishi nae kijiji kimoja bwanaWasha kijiti wacha moto uwake...
ndio best si unajua tena wahaya na mambo ya uk....ila sijui alikuwa wa bulgaria maana ...mungu nisamehe....miguu imepasukaje siunajua tena vumbi la kitendaguro?
velivuta nae sana msubaa huyu jamaa kipindi i was rasterman culture sio now bana bange navuta kwa ratibaniliiishi nae kijiji kimoja bwana
na wewe kumbe ni kule kwenye senene....matoke...mix bunyebwa...feat water doh!!ndo maana nakufeel kumbe jamani chozi smilendio best si unajua tena wahaya na mambo ya uk....ila sijui alikuwa wa bulgaria maana ...mungu nisamehe....miguu imepasukaje siunajua tena vumbi la kitendaguro?
sio kila mzungu umuonae mjini ni padre ujuena wewe kumbe ni kule kwenye senene....matoke...mix bunyebwa...feat water doh!!ndo maana nakufeel kumbe jamani chozi smile
mke wake hakuwa mzungu alikuwa ni mbongo tu tena mhaya alimtorosha na kumuachisha masomo shule moja ya wasichana iko Bukoba inaitwa Rugambwa akiwa bado mwanafunzi wa kidato cha pili kama sio cha tatu akamuoa. Dada huyu ni mzuri kweli kweli, alipofariki kuna mheshimiwa fulani aliyewahi kuwa waziri katika wizara flani nyeti aliyejiuzuru kwa kashifa fulani fulani ndiye akajimilikisha.sijui yule mke wake mzungu wahaya washamuacha?
nimeipendasio kila mzungu umuonae mjini ni padre ujue