Sicolate
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 243
- 342
Nashukuru kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe mwenye bahati na kuendelea kuishi mpaka leo!Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi ninaomba aendelee kunipa nguvu ili nitimize ndoto zangu,nisaidie wasiojiweza!
Kheri ya Kuzaliwa na wengine wote mliozaliwa siku tarehe ya leo!!
KISSES
Kheri ya Kuzaliwa na wengine wote mliozaliwa siku tarehe ya leo!!
KISSES