KissesNashukuru kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe mwenye bahati na kuendelea kuishi mpaka leo!Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi ninaomba aendelee kunipa nguvu ili nitimize ndoto zangu,nisaidie wasiojiweza!
Kheri ya Kuzaliwa na wengine wote mliozaliwa siku tarehe ya leo!!
KISSES
Hili jina hili kama nakujua vileeHappy birthday, mungu akujaalie afya, furaha na amani. Uzidi kua mrembo zaidi ya hivyo ulivyo kwenye AVATAR yako.[emoji53] [emoji57] [emoji18]
Walah bi mdashi utakua Mnyamwezi ##kabila##Heri ya siku ya kuzaliwa mrembo, December ni mwezi mzuri wa kufurahia maisha, enjoy your day, live the life and have fun.
Regards,
Bibi Kasinde.
happy birthdayNashukuru kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe mwenye bahati na kuendelea kuishi mpaka leo!Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi ninaomba aendelee kunipa nguvu ili nitimize ndoto zangu,nisaidie wasiojiweza!
Kheri ya Kuzaliwa na wengine wote mliozaliwa siku tarehe ya leo!!
KISSES
Nashukuru kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe mwenye bahati na kuendelea kuishi mpaka leo!Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi ninaomba aendelee kunipa nguvu ili nitimize ndoto zangu,nisaidie wasiojiweza!
Kheri ya Kuzaliwa na wengine wote mliozaliwa siku tarehe ya leo!!
KISSES
Happy birthday to you[emoji8]Nashukuru kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe mwenye bahati na kuendelea kuishi mpaka leo!Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi ninaomba aendelee kunipa nguvu ili nitimize ndoto zangu,nisaidie wasiojiweza!
Kheri ya Kuzaliwa na wengine wote mliozaliwa siku tarehe ya leo!!
KISSES