Bora machale yalinicheza na kutoagiza pambano hili maana ningeliwa ha ha ha. Sasa kama watamweka pesa nzuri Mayweather mezani kama $40 millioni au hata zaidi basi wanaweza kumshawishi arudi ulingoni ili achapane na mphillipines Pacquiao. Hili litakuwa pambano zuri sana na litavunja rekodi ya mapato katika Ulimwengu wa ndondi. Haya watu wataingia kazini kuanza kumuonyesha Bulungutu Mayweather, kama dau litakuwa zuri nina hakika Mayweather atarudi tena kuwaburudisha wapenzi wa masumbwi duniani.
Sidhani kama kuna boxer kwenye ulimwengu wa sasa atakaeweza kumpiga Manny, hata mshindi wa Maywether Marquez hataweza! Huyu jamaa akitaka kupanda hata kwenye heavy weight atachukua mataji ya kina Kilitsichko.
I must say- Good prediction Nyani, lakini it was a suprise hata kwa wale ambao walitarajia kuwa Manny angeshinda kwa nockout kwa kuwa ilitokea rounds za mwanzo sana.Nadhani Hatton inabidi astaafu sasa, kipigo cha jana naamini kitamfanya asiwe hata na hamu ya kusogelea ukumbi wa ngumi.
Amtake Hatton kwa nini wakati tayari keshamnyuka? Money Mayweather katoka kwenye retirement because he's pissed off right. He's pissed off that the pundits aren't regarding him as the pound for pound king anymore so he wants to go and shut every pundit's mouth about who the pound for pound king is.
I still got my money on Money Mayweather. His arsenal of skills is far better...superior to that of the Pacman. Plus, Money Mayweather has the physical size advantage over Manny. Mayweather will be too much for Manny.
BAK,
Sina regrets bwana kuwapigia cable na kuangalia mpambano. Undercards zilikuwa nzuri hasa yule Mcuba Lara na Mrusi. Danny Jacobs si mbaya sana ingawa alikutana na Jembeulaya!
Hatton, amekwisha, kidevu cha yai!