Tayari hata kauli mbinu ya Mei Mosi ya Mwaka huu inaashiria kuowepo na nyongeza ya mshahara. Ukiacha wale ambao mishahara yao ilikuwa ikiongezeka hata wakati wa awmu ya tano - yaani kwa kupanda vyeo na kwa sifa za muda wa utumishi wao, matumaini makubwa ya Mei Mosi ya leo ni nyongeza ya mshahara kwa kuzingatia mfumuko wa bei (inflation rate). Taarifa za kiuchumi zinaonesha kwa miaka karibu mitano hii mfumko wa bei umeongezeka kiasi chake.
Wachumi wanaweza weka asilimia hapa. Kwahiyo intarajiwa angalau mshahara upande kwa asilimia hiyo ya mfumko wa bei ili nguvu ya wafanyakazi ya kununua iwepo. Kupanda kwa mtindo wa asilimia kutawahusu wafanyakazi wote hata viongozi ambao huwa na mishahara inayoitwa "fixed".
Hii inaweza nufaisha wengi isipokuwa labda sekta binafsi ambao nao utaratibu wao wa kuongezewa mishahara huwa na mlolongo tofauti kidogo. Ikimbukwe kwa Sekta binafsi hawajawahi ongezwa mshahara tangu Mwaka 2013. Sijui Waziri Mhagama ana nini cha kujivunia kwa hilo.
Hata hivo leo ni leo - masikio na macho yetu yapo hapa Mwanza ambapo hotuba ya Mhe. Rasi wetu - MFUTA MACHUNGU - anapotarajiwa kuleta maneno ya faraja!
Stay tuned!