Leo ni Miaka 56 tangu MalcolmX afariki dunia

Majesty S P

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
62
Reaction score
87
Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia.

Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM X dunia bado inaukumbuka mchango wako.
 
Ndo nan huyo weka historia yake na mjmi nimfahamu.
 
Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia.

Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM X dunia bado inaukumbuka mchango wako.
Jamaa ana historia ndefu sana HAIWEZI ishi kama vipi tafuta documentary yake itakuwa vizuri MALCOLM XView attachment 1709208
Kumbe ndo huyu mwamba hasa mwaga madini angalau kwa ufupi ili nivutiwe kumsoma....

]
 
Tuwekee hata intro yake ili tuvutiwe kufuatilia histry yake
 
Huyu mwamba atakumbukwa Sana Kwa kupigania haki za binadamu hasa mtu mweusi
 
Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia.

Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM X dunia bado inaukumbuka mchango wako.
Mtu angeanzisha uzi wa kusema leo ni mwaka wa ngapi tangu Mtwa Mkwawa ajinyonge ingekuwa poa sana.
 
Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia.

Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM X dunia bado inaukumbuka mchango wako.
Alikuwa nanuwezo mkubwa sana wa kujenha hoja na kutetea anachokiamini
Ila ukisikiliza sana hotuba zake utagundua mawazo yake mengi yalikuwa yana kasoro,alaf alikuwa anafanya makosa leo ya kile anachokiamini.Ikawa inamchukuanmida mrefu sana kukubali makosa na kubadili msimamo.Kimsingi hakuwa consistent kama Martin Luther.
 
baada ya kumtafakari sana malcom X nadhani fikra na mawazo yake yalikuja kuharibiwa na historia ya makuzi yake ni kweli alipitia ubaguzi na mateso ya kunyanyapaliwa na wazungu ila alikuja kuzimgua sana baada ya kujiunga na nation of islam akawa na kasoro nyingi sana na kushindwa kusimamia alichokuwa akikiamini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…