Siku kama ya leo, miaka 6 iliyopita maeneo ya taa za chang'ombe, kiungo fundi mnyarwanda, Patrick Mutesa Mafisango alifariki Dunia, baada ya kutokea ajali ya gari.
Wapenzi wa soka, unakumbuka jambo gani toka kwa fundi huyu? Tumtakie kila la heri huko aliko. Ameen!