Uchaguzi 2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

Wajenzi wa mnara wa Babeli mmepoteana [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Waambie....Hivi Mbowe mbona haonekani kwenye kampeni au chama fulani kilishauzwa maana hata sera zao ni kama Madalali
Mbowe kamuuza Lisu kwa ACT wazalendo ili Lisu awe afisa masoko wa ACT wazalendo wa kumnadi Maalim Self Zanzibar .Seif hana afisa masoko wa kumnadi kule
 
Hiyo kwake ni chagua ccm.
Penye eneo lenye chama chenye nguvu ndipo penye ushindi

Nguvu ya chama nguvu ya ushindi kujua mgombea yupi atashinda wapi angalia kitu kimoja tu nguvu ya chama husika hilo eneo
Vinginevyo ushindi hakuna
 
Lissu hata asipopiga kampeni watz lazima tumkabidhi nchi make tayari tushaamua hivyo!
 
Hamna sera kwa sasa Upinzani, mnaoshia kupiga mihayo tu ...Nchi sio SACCOS au kikundi cha Kikoba mmemiliki výama mnataka mmiliki na nchi kama viatu...No thank You!
Hivi Sera ya kodi ya mikopo..Sera za kikotoo cha wafanyakazi,..kuuzwa kwa vitambulisho,wanaccm wandamizikunyang'anya na kumiliki mahekar ya ardhi ya wafugaji na wakulima,tenda za miradi mbalimbali kutotangazwa na kufanywa Bila uwazi,nk nk ..unaona ni Sera nzuri??msiwe wabinafsi kuweni Fair mkikosea mseme kwl ili mjirekebshe ila kushupaza shingo ni kujivua nguo mchana kweupe!!Msingi wa maisha ni Uhuru na haki na sivingnevo!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kazi yenu ni kusikiliza Lisu kasemaje mnasahihisha.

Vitambulisho, kodi ya mimba
 
Ndio sera za Ccm hizo.
Pamoja na wasanii
 
Ile sera ya viwanda imeishia wapi
 


UMELEWA BANGI YA CHATO ?????
 


Haya furahia sera yenu hii mnayoitangaza
 

Attachments

  • Mauno CCM.mp4
    9.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…