Uchaguzi 2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

Juzi ulidai CCM ichukue Sera ya chadema ulijuaje Kama wana Sera ikiwa wajinadi wait wenyewe bila Sera? Au ndiyo tumbo linakufanya unajikana mwenyewe, ndiyo maana tunapata mashaka yakuwaamini , kwa vile hamkawii kubadilika
 
Chadema wanayo na hswainadi wanajinadi wenyewe binafsi ndio maana nikasema CCM tuichukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…