FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Uje kabisa na kale kaunga ka ku do ze nidiful.. eeh..
happy new year Kaizer :cell:?
Happy birthday Superman uwe na nyingine nyingi...Hongera kwa Annivesary msherekee nyingi mbeleni na Heri ya mwaka mpya!
Mmh mbona unanitisha polisi...!Za hayo masiku sio mbaya kabisa!Asante...heri ya mwaka mpya na kwako pia!habari za siku lizzy. Happy new year
siku njema mkuu...i hope you enjoy your day!:hungry::hungry:
Mmh mbona unanitisha polisi...!Za hayo masiku sio mbaya kabisa!Asante...heri ya mwaka mpya na kwako pia!
usitishike jamani. Sisi ni familia moja
Eti ehh!Haya nshaondoa hofu!Mwaka mpya umeshaarest maharifu mangapi?
umepata MR....wewe tena...."the winner takes it all"
Ilembula unanikumbushia pia pamoja na ulanzi kuna mafuta ya alizeti kwa wingi!
Wanasema ni 3 in 1.
Sijui ilitokea vipi hadi ikawa hivi. Ila 1st January kila mwaka ni:
- Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya
- Ni siku yangu ya Kuzaliwa
- Ni siku tuliyofunga ndoa na shemeji yenu.
Nawatakia Wote Heri ya Mwaka Mpya yenye furaha tele na mapumziko mema pamoja na familia zenu.
God Bless You All.