Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
leo nipo City kwa mkopowapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024.
kuna wanaosema bingwa wa champions msimu huu atatoka kwenye moja ya hizi timu za awa majini!
haya sasa washkadau tupieni hints chache kulekea huu mtanange.
mbungi itapigwa saa 4:00 usiku wa leo.
nashindwa kutabili madrid atapatia wapi matokeo home or away ila nachojua 1000% city mwendo anaumalizia hapa hapa nusu...PIGWA MSHANGAO WA KARNE NA BENZEMA,RODRYIGO NA VINIjrwapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024.
kuna wanaosema bingwa wa champions msimu huu atatoka kwenye moja ya hizi timu za awa majini!
haya sasa washkadau tupieni hints chache kulekea huu mtanange.
mbungi itapigwa saa 4:00 usiku wa leo.
Madrid hatua kama izi huwa ni kichaa anapiga chochote kilicho mbele yake.nashindwa kutabili madrid atapatia wapi matokeo home or away ila nachojua 1000% city mwendo anaumalizia hapa hapa nusu...PIGWA MSHANGAO WA KARNE NA BENZEMA,RODRYIGO NA VINIjr
ndo mbabe wa uefa uyo akuna namna.Da siipendi Madrid
Timu ya dunia hiyo. Binaadam wote were born to become Real madrid funs.Da siipendi Madrid
Ayaaaaaa dahdk ya 67 Man city wanasawazisha goli la Kelvin De Bruiney.
Madrid 1-1 Man City.