Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Wapendwa asubuhi hii nawaletea mojawapo ya salaam Bora za siku ya leo ya ijumaa tukufu:
"Jumma hii iliyobarikiwa na ikuletee amani, furaha, na baraka nyingi maishani Mwako"
Wenye elimu mtuletee salaam nyingine zilizo bora kwa siku hii takatifu
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi kwenye njia zenu
Sote tijitahidi kwenda kwenye Swalla ya Ijumaa